Elimu ni kubwa kwa Wanalushoto juu ya dira ya taifa 2025-2050 -DC Kubecha

Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mhe Japhari Kubecha Leo Tarehe 23 Julai Amezindua Dira ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa YA 2025 -2050 ,Akiwa na Viongozi Mbalimbali wa Wilaya

” Elimu ni Kubwa sana Kwetu wanalushoto Juu ya Dira YA Maendeleo ya Taifa ,Nimefurahi na Kufarijika Kuona Maoni kwenye Dira Hii ya Maendeleo yamejikita Kwenye Kilimo, Uchumi, Biashara ,Miundombinu na Ulinzi na Usalama , imani yangu Kupitia Maoni haya Tutajenga Lushoto Yenye Maendeleo Bora sana ”

” Naombeni sana Kila Mtu Akawajibike kwenye Nafasi Yake ,kwani Tukiwajibika kwa Ufasaha Tutapunguza Mambo mengi kwenye Vyombo Vyetu Vya Ulinzi na usalama , Tukawe wazalendo ili Tuijenge Lushoto yetu ,Na Tanzania yetu Kwa Ujumla ” . Dc

Related Posts