Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi ashiriki kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 24 Julai 2024.

  

Related Posts