Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 26, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Day: July 25, 2024
Makao makuu ya kihistoria ya usimamizi wa bandari ya Belém sasa yanajengwa upya kama hoteli ya wageni 255, ili kuwakaribisha wajumbe wa mkutano wa kilele
Na Catherine Mbena /Saadani. Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Marwa Waitara,
Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 inasisitiza suala la upatikanaji wa huduma bora
Wenyeji Kanak katika mkutano wa kisiasa kabla ya kura ya maoni ya kwanza ya Uhuru wa New Caledonia mwaka wa 2018. Credit: Catherine Wilson/IPS na
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imefanya mkutano wake mkuu wa 51 wa mwaka, ulioshirikisha wadau mbalimbali kujadili maendeleo ya TBL
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza safari za treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma huku nauli
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Dar es Salaam, Julai 25, 2024 – Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kumekuwa na ongezeko la wawekezaji wa ndani
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Zaidi ya wachezaji 150 wanatarajiwa kuchuana katika shindano la wazi la mchezo wa gofu “KCB East Africa Golf Tour”, litalofanyika