DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUJIWEKEA HESHIMA AFRIKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Diamond Platnumz amezidi kujiwekea heshima kwenye mitandao ya kijamii Afrika baada ya kufikisha wafuasi milioni 9 YouTube, na hivyo kuongoza katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara.

 

Haya yanajiri baada ya kuweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara kutazamwa kwa mara Bilioni 2.

 

Aidha, Diamond Platnumz ameorodheshwa kuwa miongoni mwa wasanii 5 Afrika wenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa YouTube.

Related Posts