Esha Buheti alamba dili la ‘GSM Coconut Cream’, aandika haya

Ni July 26, 2024 ambapo Mwigizaji na Mjasiriamali, Esha Buheti ameingia kwenye vichwa vya habari mitandaoni baada ya kusaini mkataba mpya wa kutangaza bidhaa za GSM Coconut Cream.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alishare picha na kuujulisha umma kwa kuandika..’ Awakushushi bali wanakuinua Alhamdulillah rasmi Mwanafamilia wa GSM sasa jiandaeni kuona utofauti mgawa riziki ni Mungu hata wakiungana kukuangamiza ila jua nafsi njema haidhaliliki narudi’- 

Unaweza ukazitazama picha mbalimbali hapa ushuhudie namna alivyosaini mkataba huo mpya.

.
.
.
.
.

Related Posts