HIKI NDICHO OBAMA, MICHELLE WAMEMTABIRIA KAMALA USA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais Mstaafu wa awamu ya 44 nchini Marekani Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wamemtabiria mazuri Makamu wa Rais wa nchi hio Kamala Harris kuwa atashinda na kuwa Rais bora.

Hayo ni baada ya kufanya mawasiliano ambapo Obama ameamua ku-share na umma kwa namna wanavyomuunga mkono kushindania nafasi hio.

Kamala amejikita katika nafasi ya kugombea Urais kupitia chama tha The Republican akichuana vikali na Donald Trump.

Ukiachilia mbali madaraka, ushawishi na Support aliyo nayo uanadhani Kamala anaweza kumshinda Trump?

“Mapema wiki hii, mimi na Michelle tulimpigia simu rafiki yetu

@KamalaHarris Tulimwambia tunafikiri atafanya Rais mzuri wa Marekani, na kwamba anatuunga mkono kikamilifu. Katika wakati huu muhimu kwa nchi yetu, tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha kuwa anashinda mnamo Novemba. Tunatumai utajiunga nasi.” ameandika Barack Obama

#KonceptTvUpdates

Related Posts