Idara ya Mawsailiano Serikalini kupitia Wizara ya Fedha imeamua kutoa elimu kwa umma kuhusu Mfumuko wa Bei na Kupanda kwa gharama za maisha .
Kupitia nakala zilizo na ufafanusi wa maana halisi ya mfumuko wa bei pia inabainisha jitihada za serikali katika kujikwamua kutoka katika wimbi hilo.
#KonceptTvUpdates
Soma kwa makini upate jifunza jambo hapo chini;