MAKOSA KATIKA VIDEO YA KOMASAVA REMIX – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Imeandikwa na Madudu_7 katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X zamani Twitter.

 

 

1. Chley hapa aliyehusika na color alishindwa balance vizur pia make-up haikukolea ndio maan tukapata sura halisi ya huyu dada kama ukiangalia kwa umakini.

 

 

 

2. Hapa Derulo na diamond kama uliangalia kwa umakini walipishana mikono na hii ilitokana na mbwembwe za diamond mwenyew pia derulo kuangalia camera sana.

 

 

3. Hiki kipande Jason Derulo aliingiza mistar sio kama ulisikia vzur alisema “fuck in the car 😤” sasa inahusiana nini na hii nyimbo amini nawapanga alijisahau.

 

 

4. Hii edit ya kitoto sana haikuwa na lazima wa kuweka animation ya mnara hapa kwan iliharibu uhalisia wa kipande hiki aisee so director na yeye alianza leta shida.

 

 

5.Hapa Derulo alijisahau kuwa nyimbo ni piano so akaamua kuweka dancing style zake 🤣 anyway this is shit amini nawapanga🚮

 

 

 

6.Najua umejiuliza sana hiki kipande ni chanini kwani hakileti picha nzur katika video hii ni basi tu yawezekana hakikutakiwa kuwepo ni upuuzi tu 🚮.

Related Posts