Picha: Yanga SC wazindua Jezi mpya Msimu 2024/25

Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025 Yanga SC wametambulisha rasmi jezi zao za nyumbani, ugenini na jezi mbadapa (third kit) watakazotumia katika msimu ujao wa mashindano, jezi hizo zitauzwa Tsh 45,000.

.
.
.
.
.
.
.
.

.

The post Picha: Yanga SC wazindua Jezi mpya Msimu 2024/25 first appeared on Millard Ayo.

Related Posts