KIONGOZI WA MBIO ZA MWNGE AIPONGEZA TARURA WILAYA YA TARIME – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava ameipongeza wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, kuendelea Kutekeleza maelekezo ya serikali ya kutumia mfumo wa NeST katika Miradi ya Maendeleo ya serikali.

 

 

Kauli hiyo alitoa Wilayani Tarime Mkoani Mara Wakati akizindua Daraja lilojengwa na Tarura kwa Gharama ya shilingi TSh Milioni 511,914,763.69 fedha zinazotokana na Mfuko wa maendeleo ya Barabara.

 

 

 

Meneja wa Tarura Wilaya ya Tarime Charles Marwa Alisema lengo la Mradi huo nikuimarisha usafiri na usafirishaji wakata za Nyakonga Binagi na Nyarero pamoja na kuimarisha ufannisi wa ulinzi na usalama wa Jamii na mali zao pamoja na kufungua kata hizo kiuchumi.

 

 

Wakizungumza Kwa nyakati Tofaut baadhi ya wananchi wameishukuru Serikali kukamilisha Barabara hiyo kwani ilikuwa changamoto hasa nyakati za Mvua pamoja na wanapoougua ndugu zao.

 

Related Posts