Klabu ya Manchester United imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wenye utakaobeba mashabiki 100,000.
Uongozi wa klabu hiyo unaamini kujenga uwanja mpya kutakuwa na manufaa zaidi kuliko kukarabati uwanja uliopo.[ Old Trafford]
Mipango ambayo ipo hadi sasa ni kuwa ujenzi wa uwanja huo mpya utakamilika ifikapo 2030, huku mradi huo ukikadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4