BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM LINDI MJINI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM katika Ukumbi wa Kagwa, Lindi mjini.

Kabla ya mkutano huo wa ndani, Katibu Mkuu na msafara wake, walioko katika ziara mikoa ya Mtwara na Lindi, alipokelewa rasmi kwa kuvalishwa skafu na kufanya Kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Lindi, katika Ofisi za CCM mkoani humo.








Related Posts