Michezo ya Olympic huko Ufaransa inazidi kunoga haswa ambapo ndani ya Meridianbet wameona kuwa wasikuache hivi hivi wamekuwekea ODDS za kibabe sana. Ingia na ubashiri michezo zaidi ya 200 sasa.
Inajulikana kuwa michezo ya Olympic mwaka huu wa 2024 ilianza Julai 26 na inatarajia kumalizika hapo Agosti 11 mwaka huu ambapo michezo hii imejumuisha takribani mataifa zaidi ya 200 ambayo inashindania medali kwenye michezo mbalimbali.
Lakini leo hii Tanzania inajivunia Mwanajudo anayefahamika kwa jina la Thomas Mlugu ambaye anapeperusha bendera ya Taifa vizuri kwenye mchezo wa Judo ambaye leo hii ameanza vizuri baada ya kupata ushindi mkubwa hatua ya makundi.
Mlugu ametinga hatua ya 16 bora baada ya kumtwanga Tai Tin William kutoka Samoa kwenye mchezo ambao ulikuwa ukipigwa kwenye ukumbi wa Champs-De-Mars huku wote hao wakiwa Kundi C.
Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea leo hii ambapo Taifa la Tanzania litamtazama Thomas Andrew Mlugu anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza pia michezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Taarifa zinasema kuwa Mlugu alianza kwa ushindi wa nusu pointi 10-1 dhidi ya mpinzani wake, kabla ya kuendeleza ushindi mkubwa kwenye kipindi cha pili kwa kupata matokeo ya Knockout maarufu kama (KO). Jisajili hapa.
Baada ya kupata ushindi huo wa hatua ya makundi, sasa Mlugu ametinga kwenye hatua ya 16 bora, kama akishinda atakipiga Robo Fainali, kisha Nusu Fainali, na Fainali ambazo hizi zote zinatarajiwa kupigwa siku ya leo hapo baadae.
Ndugu mteja wa Meridianbet huenda ukawa unajiuliza inakuwaje mechi hizi za Robo Fainali, Nusu, na Fainali kupigwa kwa siku moja kwani hao wachezaji hawachoki?. Ila ukweli ni kwamba mechi hizi zinapigwa ndani ya dakika 4 pekee hivo ni rahisi kuchezwa kwa siku moja.
Baada ya kumaliza mechi hiyo Mlugu amesema kuwa nguvu, ari na kujiamini ndiko ambako kumemfanya apate matokeo hayo na pia amesisitiza kujipanga na kujiweka vyema kwenye michezo ijayo.
Mtanzania huyo mechi yake inayofuata atapambana na Mfaransa Joan-Benjamin Gaba ambapo jioni ya leo washindi katika uzito anaocheza Mlugu watavalishwa medali za ushindi. Beti na Meridianbet sasa.
Usikose uhondo huu wa bwana Mlugu akiwania ubingwa wa Judo na michezo mingine kibao ya Olimpics inayoendelea huko jijini Paris. Meridianbet inakupa fursa ya kuwa bingwa kwa kubashiri michezo hii ya Olympics 2024.