SIMBA YARIPOTI KUKAMILISHA PRE SEASON YAKE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya Simba yaripoti kuwa imekamilisha maandilizi ya Pre season sasa ipo tayari kurejea nchini kwaajili ya Simba Day na kuendelea na Michuano ya msimu mpya.

Katika mechi zake iliyoshiriki imeweza kuibika ushindi na kuifanya klabu hio kuimarika zaidi.

“Pre Season 2024 imekamilika vyema. Tukutane kwenye #SimbaDay2024″- Simba SC

Inaweza kuwa picha ya Watu 2, watu wanacheza soka, watu wanacheza kandakanda na maandishiMchezo wa mwisho wa Pre Season 2024 tumemaliza kwa ushindi.Inaweza kuwa picha ya Watu 2, watu wanacheza soka na maandishiMjumbe wa Bodi, Crescentius Magori akikabidhiwa tuzo na kiongozi wa Al-Adalah Football Club baada ya mchezo kumalizika.

Related Posts