DKT. Biteko amfariji Halima Mdee

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Halima Mdee leo Julai 31,2024.

Dkt. Biteko amefika na kumfariji Mhe. Halima Mdee kufuatia msiba huo uliotokea tarehe 30 Julai, 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu Jijini Dodoma.

Related Posts