MICHUANO ya Olympic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransa mapema leo huku matumaini ya Watanzania yakibaki kwa wakimbia riadha wa mbio ndefu (Marathon) kwakua washiriki wengine wakiwa wameondoshwa kwenye michuano hiyo.
Ndoto ya kubeba medali kadhaa kwenye michuano ya Olympic mwaka huu inaweza kutimia kwakua Tanzania imepeleka wakimbiaji hofdari wa mbio ndefu ambao wamekua na uzoefu wa muda mrefu wakiongozwa na Alphonce Simbu.
Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 mbali na Alphonce Simbu ni pamoja na Jackline Juma Shakilu, Magdalena Shauri, na Gabriel Geay.
Jana Tanzania ilipoteza mshiriki kwenye michuano ya Olympic kupitia muogeleaji Collins Saliboko ambaye alishiriki mchezo wa kuogelea mita 100 na kumaliza nafasi ya saba, Hivo kupelekea kutupwa nje kwenye michuano hiyo.
Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransa ambapo maono na matumaini ya Taifa la Tanzania yamebebwa na wakimbiaji wa riada za mbio ndefu anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza pia michezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Michuano ya Olympic mwaka huu inaonekana kua yenye mvuto zaidi ukilinganisha na miaka mingine ya hivi karibuni jambo ambalo limewavuta watu wengi kutazama michuano, Huku Meridianbet wakiendelea kumwaga ODDS NONO kwenye michezo inayopigwa kwenye Olympic 2024.