Olympic 2024 yaendelea kutimua vumbi Tanzania matumaini kibao

Michuano ya Olympic 2024 inaendelea nchini Ufaransahuku michezo mbalimbali ikliendelea kutimua vumbi naMeridianbet wameendelea kutoa Odds bomba kupitiamichezo inayochezwa.

Tanzania ilifanikiwa kushiriki michezo kadhaa kwenye Olympic mwaka hu ikiwemo Kuogelea, na Judo, Huu washiriki wamichezo hiyo wakiwa wametupwa nje ya michuano namatumaini pekee yamebaki kwa wanaoshiriki mchezo wariadha.

Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzaniakwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 mbali naAlphonce Simbu ni pamoja na Jackline Juma Shakilu, Magdalena Shauri, na Gabriel Geay.

Alphonce Simbu amekua na rekodi nzuri kwenye michuanombalimbali ambayo amekua akishiriki, Hivo kufanya matumainiya Watanzania kuamini yeye pamoja na wenzake watatu ndiowanaweza kuiweka nchi kwenye ramani kwa kushinda medali.

Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransaambapo maono na matumaini ya Taifa la Tanzania yamebebwa na wakimbiaji wa riada za mbio ndefuanayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza piamichezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Michuano ya Olympic mwaka huu inaonekana kua yenye mvutozaidi ukilinganisha na miaka mingine ya hivi karibuni jamboambalo limewavuta watu wengi kutazama michuano, HukuMeridianbet wakiendelea kumwaga ODDS NONO kwenyemichezo inayopigwa kwenye Olympic 2024.

About The Author

Related Posts