SIMBA SC YAWASILI NCHINI KUTOKA KAMBINI MISRI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Simba SC imerejea kutoka misri ambako iliweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya NBCPL 2024/25

Mbeleni wakitanguliwa na tamasha la Simba Day litalofanyika tarehe 3/08/2024 katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es salaam

#KonceptTvUpdates

Related Posts