Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Month: July 2024
NDANI ya Yanga kuna kazi kwelikweli. Unaweza kusema Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi ni kama yupo katika wakati mgumu akikuna kichwa namna ya
Kamanda huyo anatuhumiwa kupanga shambulizi lililosababisha vifo vya vijana 12 kwenye eneo ambalo Israel inalikalia kwa mabavu la Milima ya Golan. Israel iliapa kulipiza kisasi
na CIVICUS Jumanne, Julai 30, 2024 Inter Press Service Julai 30 (IPS) – CIVICUS inajadili Mkutano ujao wa Kilele wa Wakati Ujao na Renzo Pomi,
Wanawake wengi wa Afghanistan wamegeukia biashara ya mtandaoni licha ya hatari zake, kwani aina zote za kazi ni marufuku kwa wanawake. Credit: Learning Together. Jumanne,
Dar es Salaam. Kutokana na idadi kubwa ya madaktari kuwapo kijiweni, Serikali imesema ipo katika mchakato wa kulipatia ufumbuzi tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti
Lindi. Aliyekuwa mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk
Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC). Katika ziara hiyo Air
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo
Arusha.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Emmanuela Kaganda, amewataka watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Nelson Mandela inayoshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia Afrika, kufanya utafiti