Mwanza. Mvutano wa kisheria umeendelea kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven Kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne,
Month: July 2024
Morogoro. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kufanya ziara ya siku sita mkoani hapa na atapata fursa ya kuzungumza na wananchi na kukagua miradi mbalimbali ya
Tanga. Meli ya mizigo ya Kampuni ya Seefront Shipping Service Limited yenye uzito wa tani 14,000 iliyobeba magari 300 ya wafanyabiashara wa nchi za Jamhuri
Na Said Mwishehe, Michuzi TV KAMPUNI ya Jubilee Insurance imezindua huduma ya bima ya FBiz itakayokuwa ikihudumia wafanyakazi walioko katika Kampuni ndogo ndogo
Dar es Salaam. Nani mrithi wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara? Hili ndilo swali linaloulizwa na wengi baada ya aliyekuwa
Dar es Salaam. Kampuni ya Bima ya Afya ya Jubilee, imeanzisha huduma ya afya kwa wafanyabiashara na vikundi vidogo vidogo. Huduma hiyo ijulikanayo kama FBiZ
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko Lindi,
Dar es Salaam. Jopo la mawakili wa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina limefungua kesi tatu za kikatiba Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam,