Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kushuhudia mageuzi matano katika sekta ya biashara ikiwemo kuongeza ushindani wa mauzo ya bidhaa nje ya nchi, Kuimarisha uwezeshaji na
Month: July 2024
Taasisi ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na Serikali imejikita katika kutatua changamoto za rasilimali watu Sekta ya Afya kwa kuajiri watumishi wa mikataba na kuwapeleka
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) katika kuendeleza sekta ya afya hapa nchini kupitia huduma za kibenki
Takriban miezi 10 ya vita na mashambulizi makali ya Israel yamesambaratisha huduma ya afya huko Gaza na kuvuruga mzunguko wa kawaida wa chanjo kwa vijana,
Dar es Salaam. Dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana imezuiwa. Kombo aliyepotea kwa takribani mwezi mzima kabla
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) katika kuendeleza sekta ya afya hapa nchini kupitia huduma za kibenki pamoja
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amezindua rasmi tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) mkoani Mbeya
Lindi. Makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi wameeleza kusikitishwa na taarifa za kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho-Bara, Abdulrahman Kinana huku
Na WAF – Dar Es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvu kazi katika Sekta
Na Chedaiwe Msuya,WF-Mtwara Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu. Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii, Ambros