Moshi. Mgomo wa wafanyabiashara wa kufunga maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, umemalizika baada ya kukubaliana na Serikali kuyafungua na kusubiri hadi mwaka
Month: July 2024
Raisa Said,Tanga Meli kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 imetia nanga katika bandari ya Tanga kutoka nchini China kwa mara ya kwanza baada ya
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mwalimu mmoja (jina limehifadhiwa) wa Shule ya Awali ya St. Doroth iliyopo Manispaa ya Tabora kwa tuhuma
Na Mwamvua Mwinyi,Mafia – PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amekabidhi vyerehani kumi na moja (11), vyenye thamani ya Tsh.
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua huduma mpya ya akaunti ya kidigitali (TCB POPOTE ACCOUNT ) ambayo itakayomfanya mteja alipie bili mbalimbali kupitia simu yake ya
Mbeya. Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imeingilia kati sakata la walimu wa Shule ya Sekondari Ivumwe kufunga lango kuu la shule hiyo
Azindua Sera ya Taifa ya Biashara Awataka Watanzania kujiandaa kushindana Norway yampongeza Rais Samia kuagiza marejeo mfumo wa kodi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema kama ilivyo azma ya Serikali kuvutia uwekezaji,
Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Julai 30, 2024 amemshukuru na kumuaga Balozi wa Ireland Mhe. Mary O’Neil,
Na Winfrida Mtoi Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (E.A.G.T), Temeke linatarajia kufanya semina na maombi maalumu kuliombea Taifa, viongozi pamoja na kuomba ili kuondokana