Mageuzi hayo yaliyoratibiwa na muungano tawala wa Kansela Olaf Scholz yanalenga kuweka ukomo wa viti katika bunge la Ujerumani la Bundestag kufikia viti 630 kutoka
Month: July 2024
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv ALIYEKUWA Meya wa Ubungo Dar es Salaam, Boniface Jacob na mwenzake Godlisten Malisa, ambaye ni Afisa Afya Jamii na mkazi
Na Mwandishi Wetu,Manyara. Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited ametoa zawadi ya Bajaji mpya kwa Dereva
Watumishi Housing Investments (WHI) inatarajia kutekeleza mradi wa nyumba 101 katika eneo la Mikocheni Regent Estate jijini Dar es-salaam. Ujenzi huo utaanza Mwezi Agosti 2024
Unguja. Ili kufikia lengo la kukusanya mapato ya ndani ya Sh845 bilioni, Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imeweka mikakati maalumu ya kuhakikisha fedha hizo zinapatikana
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema imejipanga kujenga kituo cha kurejeleza taka za plastiki pamoja na kuhifadhi na kuchambua taka ngumu kwa ajili
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Enekia Lunyamila amejiunga na klabu ya Mazaltan inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Mexico kwa mkataba wa miaka miwili. Kiraka
Unguja. Chama cha ACT- Wazalendo kimeeleza mambo ambayo yakifanyika, yanaweza kuharakisha maendeleo na ukombozi visiwani Zanzibar. Mambo hayo ni kuendesha nchi hiyo katika misingi ya
Ni July 30, 2024 ambapo GSM Group of Companies leo wanayofuraha ya kupanua wigo wa mahusiano na Klabu ya Yanga ambapo wametangaza rasmi kampuni yao
Arusha. Mwanaharakati Onesmo Ole Ngurumwa, amepata ushindi katika rufaa aliyofungua Mahakama ya Rufani, akipinga kuondolewa mahakamani kesi yake ya kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa