Juu ya Siku ya Kimataifa ya Urafikiinayoadhimishwa kila mwaka tarehe 30 Julai, tunatazama nyuma kwenye hotuba yenye nguvu ya papa katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu
Month: July 2024
Kufuatia maandalizi ya Kombe la Dunia 2034, nchi mbalimbali zimekuwa zikituma maombi ya kugombea kuhodhi mashindano hayo, makubwa zaidi duniani katika mchezo wa mpira wa
Kiujumla hamna mtu mwenye umiliki kamili wa ardhi Tanzania, na badala yake, Rais ndo mwenye umiliki kamili wa Ardhi ambaye yeye ni kama Muaminifu (Trustee)
Kauli za Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan Jumapili zimeibua mvutano mkubwa kati ya Uturuki na Israel baada ya kusema “Uturuki inaweza kuingia Israel, kama
Hayo yanaelezwa kutokea katika mkoa wa mashariki wa Kivu Kaskazini, ambako jeshi la Kongo linapambana dhidi ya waasi wa M23. Hata hivyo baadhi ya wadau
TANZANIA imepata pigo lingine katika Michezo ya Olimpiki ya Paris inayofanyika Ufaransa baada ya muogeleaji Collins Saliboko kushindwa kufuzu hatua inayofuata kwenye mashindano ya mita
Mapema wiki hii, mawaziri wa mambo ya nje wa Italia, Austria, Croatia, Jamhuri ya Czech, Cyprus, Ugiriki, Slovenia na Slovakia walisema wako tayari kurekebisha mahusiano
Dar es Salaam. Theresia Mdee, mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee amefariki dunia asubuhi ya leo Jumanne, Julai 30, 2024 katika Hospitali
NAMBA hazijawahi kudanganya. Na waliobuni msemo huo wala hawakukosea. Hii ni baada ya Barbara Gonzalez aliyewahi kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, kuchomoa kibabe mbele
Katika tukio la kutisha lililovuruga utulivu wa jiji la Southport, watoto wawili walipoteza maisha na wengine tisa kujeruhiwa vibaya, sita kati yao wakiwa katika hali