Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa utetezi katika kesi ya mkopo tata baina ya kampuni ya Kahama Oil Mills Limited na wenzake dhidi ya
Month: July 2024
Kagera. Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeibuka na kuteketeza bweni la sekondari ya Mugeza iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Moto huo unadaiwa kuibuka leo
Wabunge kutoka kote barani Asia walikutana nchini Malaysia kujadili masuala ya uzee na sera. Credit: APDA na Mwandishi wa IPS (kuala lumpur) Jumatatu, Julai 29,
#BREAKING Makamu Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Abdulrahman Kinana amejiuzulu. Hayo yamethibitishwa mara baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano
Moshi. Kituo cha Utafiti wa Magonjwa Yasiyoambukiza (KCRI) cha Hospitali ya KCMC, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kimeanza kufanya utafiti wa kisayansi wa kubaini viashiria
Dar es salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuomba mara kadhaa kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa,
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Magereza, Jeremiah Katungu kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) na kumteua kuwa
Ferdinand Shayo ,Manyara . Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba
Dar es Salaam. Machungu yanayowakabili wafanyabiashara huenda yakapata mwarobaini, baada ya Serikali kutangaza mpango wa kuunda kamati ya maboresho ya mifumo ya kikodi. Kamati hiyo