Dodoma. Jumla ya wasichana 10,100 waliokatiza masomo, wamerejeshwa shuleni nje ya mfumo wa rasmi wa elimu kwa kipindi cha miaka mitatu tangu mwaka 2022 hadi
Month: July 2024
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 anajiunga na Simba baada ya mkataba wake na klabu ya Asante Kotoko ya Ghana kumalizika mwezi uliopita. Atakuwa
KILA unapovuta picha ya uwepo wa Clatous Chama, Maxi Nzengeli, Stephen Aziz KI, Prince Dube na Pacôme Zouzoua unachoona ni ushindi tu. Unachoona kingine ni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 2 Julai,
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) imeeleza mikakati mbalimbali inayofanywa ili kuhakikisha uzalishaji wa mkonge unafikia tani 120,000 mwaka 2025 kutoka
Klabu ya Simba imemtambulisha mshambulia Steven Mukwala, raia wa Uganda. kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Huo ni utambulisho wa tatu
SERIKALI ya Ukraine imefanikiwa kutibua njama za kuipindua serikali ambayo imekuwa hasimu mkubwa wa Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Taarifa iliyotolewa na mtandao wa
Waandishi wa habari wa shirika la habari la Reuters wameshuhudia mapema leo wingu la moshi ya gesi ya kutoa machozi katika barabara kuu katikati ya
Dar es Salaam. Vilio vya watu kutoweka na kutekwa vimeendelea kuibua hofu na wasiwasi nchini, huku wadau wakiinyooshea kidole Serikali kwa kushindwa kuvikomesha. Kwa mujibu
Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu Tanzania, Yusuf Manji (49) amezikwa jana Florida nchini Marekani, akiacha historia ya kuwa miongoni mwa wawekezaji wakubwa waliowahi kutokea nchini.