WATOTO wa mjini wanasema biashara asubuhi na jioni mahesabu, ndio kauli waliyoitumia Yanga kukamilisha dili la kiungo Clatous Chama ambaye ametua kwa mabingwa hao na
Month: July 2024
Geita. Mahakama Kuu kanda ya Geita imemuachia huru Stephano Mlenda (31) Mkazi wa Chigunga Wilaya ya Geita, aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto wake
Akiandika katika ukurasa wake wa kijamii wa X uliojulikana kama Twitter zamani, Zakir Jalaly afisa mkuu katika wizara ya mambo ya nchi za nje wa
Dar es Salaam. Umoja wa Wazalishaji wa sukari nchini (TSPA) umekanusha madai ya kuficha sukari ili kuongeza bei kwa faida yao binafsi. Wamesema hawana nia
Haya yanajiri baada ya ripoti zilizotolewa kuonesha zaidi ya vijana 34 hawajulikani walipo. Viongozi wa kidini kutoka mjini Mombasa nchini Kenya wamekosoa vitendo vya mauaji
Dar es Salaam. Wakati wananchi mbalimbali wakiendelea kumchangia Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeungana na wadau
Bandari ya Manzanillo, katika jimbo la magharibi la Colima, iliyoko kwenye pwani ya Pasifiki, inapokea shehena kubwa zaidi ya baharini nchini Mexico na inatoa kiwango
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)
Hatua ya vyama hivyo inajiri baada ya chama cha RN kupata mafanikio ya kihistoria kwa kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge. Matokeo rasmi
MWAKILISHI wa Mtandao wa vijana wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania Cyprian Komba amewataka vijana kujitokeza kupima Virusi vya UKIMWI ili kukabiliana na ongezeko