Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani. Manji alifariki akiwa hospitalini
Month: July 2024
SAA chache tangu Azam FC itangaze kuridhia kumuachia Prince Dube baada ya Mzimbabwe huyo kuomba kuvunja mkataba ili awe huru, nyota huyo amefanya mahojiano mafupi
Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars”, Bakari Shime amemuongeza kwenye kikosi mchezaji Malaika Meena anayekipiga kunako Wake Forest University ya Uingereza kwenye
Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo
SAA chache tangu Azam FC itangaze kuridhia kumuachia Prince Dube baada ya Mzimbabwe huyo kuomba kuvunja mkataba ili awe huru, nyota huyo amefanya mahojiano mafupi
KUNA kila dalili ya Mtanzania Madina Iddi kushinda taji la ubingwa wa wazi la mashindano ya kimataifa ya gofu mjini Lusaka Zambia mwaka huu. Akiwa
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo jimbo la Kilindi mkoani Tanga jana tarehe 30 Juni 2024 wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Anaripoti Faki
HATA leo usiku Prince Dube anaweza kutangazwa kuwa mchezaji mpya wa Yanga. Hii ni kati ya siri zilizofichwa vibaya katika soka letu. Siri nyingine iliyofichwa
UONGOZI wa Yanga umeanza kumfuatilia kiungo raia wa DR Congo, Onoya Sangana Charve anayekipiga AS Maniema. Nyota huyo aliyejiunga na Maniema Julai 28, 2022 akiachana
Ugonjwa wa kichaa Cha mbwa umetajwa kuwa ni moja Kati ya magonjwa hatarishi Kwa wanyama hao pamoja na wafugaji kwani huambukiza Kwa kung’atwa na mnyama