Ifakara. Kanisa Katoliki Jimbo la Ifakara, limemsamehe Enock Masala (19), aliyetaka kutoroka na ekaristi takatifu kanisani. Kijana huyo alikamatwa jana Jumapili Julai 28, 2024, wakati
Month: July 2024
MFANYABIASHARA Deogratus Minja amewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ya kumuachia huru mfanyakazi wa
BAADA ya kutwaa taji la Toyota Cup Afrika Kusini kikosi cha Yanga kinatarajia kuwasili alfajiri ya kesho. Yanga imetwaa taji hilo baada ya kuifunga Kaizer
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ameshinda uchaguzi uliofanyika jana Jumapili hatua inayomuwezesha kuongeza muda wa utawala wake kwa muhula wa tatu wa miaka sita. Inaripoti
Ni Rasmi klabu ya Yanga imethibitisha kuwa itacheza na timu ya Red Arrows ya Zambia, kwenye kilele cha Mwananchi Day kitakachofanyika Jumapili Agosti 4, mwaka
MTALII mmoja amefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika ajali gari iliyotokea jana Jumapili saa 10 jioni kwenye Hifadhi ya Taifa Serengeti. Anaripoti Mwandishi Wetu,
Kukutana na wanyama wa porini, na furaha kubwa kati yao itatoka kwa mbwa mwitu. Karibu mahali pa burudani bora Zaidi na Maokoto mengi Meridianbet Kasino
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Balozi Togolani Mavura amesema kwamba katika Taifa la Korea Kusini NHIF inahudumia watu wote. “Wenzetu wa Korea Kusini wamefikia
KATIKA wimbo wa Bongo Dar es Salaam wa Profesa Jay wa mwaka 2001 ndani ya albamu ya Machozi, Jasho na Damu, mkali huyo wa mashairi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Jumapili ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku