Mchinga. Madiwani wawili kutoka Kata za Milola na Rutamba zilizopo katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, wamehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuvutiwa na
Month: July 2024
Wataalam wa Maabara wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila ) wamekutana kwa lengo la kujadili na kutathimini utendaji kazi wa maabara
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha, kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania, limemkamata Samwel Mbise (42), mkazi wa Sanawari, Arusha, kwa kufanya biashara ya
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Tanga, imetoa siku 14 kwa wananchi 11 wa Kijiji cha Nghobore, kufungua shauri la maombi ya marejeo kupinga uamuzi
Ofisi ya Makamu wa Rais kupitia Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai Tanzania (SLR) imetenga ekari 28,000 za misitu ya jamii
KWA mara ya kwanza katika historia ya miaka 128 ya michezo ya Olimpiki ambayo hivi sasa inafanyika Paris, Ufaransa, pamekuwepo usawa wa kijinsi uliokuwa ukipigiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kukagua jumla ya miradi 14 ya kimaendeleo inayohushisha sekta mbalimbali ambayo imetokana
Wengi walimchukulia Haniyeh kuwa mtu wa misimamo ya wastani zaidi kinyume na wanachama wenzake wa Hamas ndani ya Gaza. Akiwa amezaliwa kwenye kambi ya wakimbizi
Dar es Salaam. Kilio cha uhaba wa mbolea nchini huenda kikafikia ukomo, baada ya kusainiwa makubaliano ya ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea aina ya
TAKUKURU TANGA YAANZA UCHUNGUZI WA MIRADI ILIYOKUWA NA MAPUNGUFU KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024
Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Afisa Uchunguzi Mwandamizi wa Takukuru Mkoa wa Tanga Frank Mapunda wakati akitoa taarifa utendaji kazi wao