NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Yanga imefanikiwa kubeba Kombe la TOYOTA nchini Afrika Kusini ambapo Yanga walialikwa kucheza na timu ya Kaizer Chiefs. Yanga Sc
Month: July 2024
Unguja. Vijana 500 wanatarajiwa kupatiwa mafunzo kupitia tamasha la Kizimkazi, litakalofanyika Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. Tamasha hilo la Kizimkazi linatarajiwa kuanza Agosti 18, 2024
Na. Catherine Sungura, Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Bodi Mpya ya Ushauri ya
KIKOSI cha Yanga kimetwaa kwa kishindo ubingwa wa mashindano ya Kombe la Toyota, jijini Bloemfontein, Afrika Kusini baada ya jioni ya leo Jumapili kuibuka na
Zaidi ya shilingi Milioni 500 zimetumika katika mradi wa Maji wa Sabasaba ulioko Wilayani Tarime Mkoani Mara ambapo mradi huo unatazamiwa kuhudumia wakazi takribani
Dodoma. Jumla ya Sh300 milioni zimepatikana katika marathoni iliyoandaliwa na Benki ya NBC, zitakazosaidia masuala ya afya, ikiwamo saratani ya shingo ya kizazi. Pia, fedha
Na Hadija Bagasha, Tanga. WAKATI watanzania wakiadhimisha siku ya Homa ya Ini Duniani imeelezwa kwamba wagonjwa wanaougua ugonjwa huo asilimia kubwa hawaoni dalili za moja
Morogoro. Diwani wa Mkundi, Seif Chomoka ameibuka na ushindi wa kura 23 dhidi ya 15 za mpinzani wake, Mohamed Lukwele katika kinyang’anyiro cha kusaka kiti
Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imefuta sehemu ya mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi na amri ya Hakimu Mkazi Mkuu Dodoma, Denis Mpelembwa kwa
MABOSI wa Simba wameshtuka baada ya kupewa taarifa kwamba kipa Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu na fasta wakaamua