Huu ni usiku wa @cheka.tu uliyofanyika jana mjini Dodoma ambapo @sbltanzania Breweries kupitia chapa yake ya Captain Morgan ndio mdhamini mkuu wa matukio yote ya
Month: July 2024
Arusha. Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shauri la maombi lililofunguliwa na Ombeni Kimaro, akiomba kuongezewa muda wa kufungua shauri la maombi ya marejeo ya hukumu
Mwanza. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa amekemea matukio ya mauaji na utekaji nchini, akitaka Serikali ifuatilie na kuwaweka
Na Mwandishi Wetu Morogoro Serikali imepokea viwanja vitatu vya michezo pamoja na njia maalum ya riadha, vilivyojengwa kwa msaada wa kampuni ya tumbaku ya Alliance
KLABU ya Simba juzi ilimtambulisha, Uwayezu Francois Regis, raia wa Rwanda kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO), akirithi mikoba ya Imani Kajula. Taarifa iliyotolewa na Bodi
Hivi ndivyo usiku wa Cheka Tu uliyofanyika jana mjini Dodoma, ambapo Serengeti Breweries kupitia chapa yake ya Captain Morgan ndio mdhamini mkuu wa matukio yote
Hafla hiyo ya ufunguzi imetoa fursa adimu ya kuuonyesha utamaduni wa Ufaransa, fasheni na muziki japo ilikumbwa na kiwingu cha mvua. Kwa mara ya kwanza
Dodoma. Ni ‘mfalme’ wa miungano ya vyama vya siasa na Serikali, ndivyo unaweza kumuelezea Raila Odinga, mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Kenya, ambaye sasa yumo
Dar es Salaam, Utotoni tulikuwa na kawaida ya kuketi kwenye nyumba ya mmoja wetu kuangalia mikanda mipya ya video. Ilikuwa hivyo kwani tulikuwa tukicheza pamoja,
Rombo. Serikali imetoa zaidi ya Sh1.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya la ndizi la Mamsera lililopo wilaya ya Rombo, Kilimanjaro ili kuhakikisha