Dodoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatarajia kufanya utafiti kuangalia uhusiano wa tatizo la utoro kwa wanafunzi na uwepo wa chakula shuleni. Akizungumza leo
Month: July 2024
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amekutana na kuzungumza na wafanyabiashara mkoani Dodoma. Akizungumza na wafanyabiashara hao Julai 24 mwaka huu,
Wakati Kenya imekumbwa na maandamano ya maafa yalioilaazimu serikali kuachana na mpango wa kuongeza kodi, Nigeria imeshuhudia vurugu ndogo kuhusiana na mageuzi yake ya kiuchumi
Tabora. Mianya ya upotevu wa mapato imetajwa kuwa moja ya changamoto zinazorudisha nyuma ustawi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete. Hii ni kutokana
Raisa Said, Tanga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetakiwa kuandaa mkakati shirikishi na asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani
Mjadala umeongezeka katika siku za karibuni kuhusu ikiwa vita vya Urusi nchini Ukraine vinaweza kumalizwa kwenye meza ya mazungumzo. Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban
Dar es Salaam. Matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwa watu wazima na watoto nchini yameongezeka, ripoti mpya inaeleza. Kwa watu wazima makosa yaliyobainika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati akifungua Kikao cha Watumishi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Waziri wa Fedha,
Jisajili sasa kwenye #CrdbInternationalMarathon2024 uwe sehemu ya kasi isambazayo tabasamu. Kama bado haujajisajili, muda ni sasa. Tembelea tovuti ya http://crdbbankmarathon.co.tz ukamilishe usajili wako. Kwa Tanzania, malipo ya