Mwanza. Upelelezi wa shauri la mauaji linalomkabili Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G) lililopo Buhongwa jijini Mwanza, Ernest George (37) haujakamilika. Akisoma
Month: July 2024
Simba SC imerejea kutoka misri ambako iliweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya NBCPL 2024/25 Mbeleni wakitanguliwa na tamasha
Taasisi ya Mkapa Foundation kwa miaka 18 sasa imetoa nuru kwa watumishi wa afya na taifa kwa ujumla, kwa kuwasaidia watu mbalimbali wenye uhitaji kwa
Unguja. Ili kuimarisha uhifadhi wa taarifa na utendaji wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), imetia saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kuhifadhia kumbukumbu na
Washitakiwa hao walikuwa ni sehemu ya kundi linalojiita “UAE 84” ambao walikuwa wakikabiliwa na kesi kubwa na kuhukumiwa kwa kuanzisha shirika la kigaidi chini ya
Onyeka Onwenu, mwimbaji mashuhuri wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Alifariki Jumanne
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezitaka nchi wanachama wa jumuiya hiyo kuongeza juhudi za kujikinga na kujilinda na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox)
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ametembelea mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha kukagua maendeleo ya mradi
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya
KUMEKUWAPO na matukio mbalimbali ya mbio za hisani, ambayo yamekuwa yakitumika kuhamasisha mazoezi kama nyen-zo ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza maarufu kitabibu kama NCD. Katika