RAIS SAMIA AZINDUA RASMI SAFARI YA SGR DAR – MORO HADI DOM

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam, leo 1 Agosti, 2024.

The post RAIS SAMIA AZINDUA RASMI SAFARI YA SGR DAR – MORO HADI DOM appeared first on Mzalendo.

Related Posts