WANACHAMA NA MASHABIKI WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU JANGWANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wakati shamla shamla za kuelekea kilelel cha Wiki ya Wananchi zikiendelea, mashabiki wa timu ya Young Africans SC wamejitokeza kuchangia damu katika Viwanja vya Mkao Makuu hya klabu hiyo (Jangwani), Mbagala na Hospitali ya Aga Khan, Dar es salaam.

Ikiwa ni muendelezo wa kurudisha kwa jamii na kujiandaa kulekea msimu mpya wa ligi ku NBCPL 2024/25

#KonceptTvUpdates

 

 

Related Posts