KIKOSI KIPO TAYARI KWA AJILI YA SIMBA DAY NA MSIMU MPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Simba SC imehitimisha mazoezi yao ya mwisho kuelekea Simba Day, sherehe itakayofanyika kesho na itahitimishwa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya APR ya Rwanda.

Mazoezi hayo yamehudhuriwa na Kibu Dennis, mchezaji ambaye awali aliripotiwa kwenda Ulaya kwa majaribio bila ruhusa. Pia, kipa mpya Moussa Camara kutoka AC Horoya ya Guinea alijiunga nao kwa mazoezi haya ya mwisho.

 

#KonceptTvUpdates

Related Posts