Moto wararua vikali maduka ya watengeneza samani (furnitures) ikiwemo masofa na vitanda mapema asubuhi ya leo Aug 02,2024 katika eneo la Kata ya Bwilingu, Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.
Katika hali ya sintofahamu ya chanzo cha moto huo, mashuhuda wamesema hawafahamu chanzo cha moto huo ambao umeunguaza ofisi zao, Jeshi la Polisi limeshafika eneo la tukio na kuimalisha usalama wa Wananchi huku likitafuta chanzo cha ajali hiyo.
#KonceptTvUpdates