Picha mbalimbali za Uzinduzi wa Treni mpya ya kisasa SGR

Ni Agosti 2, 2024 Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Morogoro katika eneo la Stesheni ya Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua rasmi huduma za Usafiri wa Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma.

Hizi ni picha mbalimbali za Uzinduzi wa Treni hiyo mpya ya kisasa ya SGR.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts