Picha: Rais Samia akifanya manunuzi ya bidhaa kwenye soko la Dumila Wilaya ya Kilosa

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akifanya Manunuzi ya bidhaa mbalimbali za Chakula kwenye soko la Dumila Wilaya ya Kilosa akiwa njiani kuelekea Morogoro Mjini baada ya kuzindua Miradi Wilaya ya Gairo na Kilosa leo August 02,2024.

.
.
.
.
.
.
.

Related Posts