SIKU YA WANYWA BIA DUNIANI KUSHEREKEWA LEO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Leo, dunia inasherehekea Siku ya Kimataifa ya Bia, ambayo huadhimishwa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi Agosti. Katika miji ya Tanzania, wapenzi wa bia wanajumuika ili kufurahia ladha za bia na kusherehekea utamaduni wa vinywaji.

Matukio maalum kama vile maonyesho ya bia na ofa za kipekee zinapangwa katika mikahawa na vilabu mbalimbali duniani, huku siku hii ikichangia kuimarisha mahusiano ya kijamii na kukuza sekta ya utalii.

#KonceptTvUpdates

Related Posts