Kutokea kwa Mkapa, Simba Day, Alikiba, Joh Makini, Ahmed Ally ainogesha

 

Ni Agosti 3, 2024 ambapo Mashabiki wa Simba Sports Club wamefika katika Uwanja wa Benjamini Mkapa kusherehekea siku yao maalum waliyoipa kwa jina la Unyama Mwingi yaani Simba Day ambayo inaambatana na utambulisho wa kikosi kipya cha timi hiyo ambacho kitashirikisha katika michuano ya Msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza hivi karibu siku zijazo.

Unaweza ukatazama hii picha hizi kutoka katika Uwanja huo wa Benjamini Mkapa zikiwemo Shangwe za Mashabiki.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts