Picha: Kutoka kwenye shamra shamra za Simba Day Kwa Mkapa….

Ni Agosti 3, 2024 ambapo Mashabiki wa Simba Sports Club wamefika katika Uwanja wa Benjamini Mkapa kusherehekea siku yao maalum waliyoipa kwa jina la Unyama Mwingi yaani Simba Day ambayo inaambatana na utambulisho wa kikosi kipya cha timi hiyo ambacho kitashirikisha katika michuano ya Msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza hivi karibu siku zijazo.

Unaweza ukatazama hii video kutoka katika Uwanja huo wa Benjamini Mkapa zikiwemo Shangwe za Mashabiki.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts