Picha: Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakulima na Wafugaji jamii ya Masai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakulima na Wafugaji jamii ya Masai wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Tutunzane Mvomero 2023-2028 inayolenga kuhakikisha Mkulima anamtumza mfugaji na Mfugaji anamtumza Mkulima Ili kukabiliana na migogoro baina yao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro leo August 03,2024.

.
.
.
.

Related Posts