Hivi ndivyo alivyoingia Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally katika tamasha la Simba Day 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwenda kutambulisha wachezaji.
Utakumbuka Ahmed Ally ndiyo mwenye msemo ulioteka mashabiki nchini katika tamasha la msimu huu la ‘Ubaya Ubwela’ ameingia uwanjani kwa kuwashtukiza mashabiki wakiduwaa kumtazama baada ya kujichanganya na Wamasai alioongozana nao.
Tazama picha zaidi hapa