Picha: Rais wa Yanga Hersi amkabidhi Jezi Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kwa Mkapa

NI Agosti 4, 2024 kutoka kwa Mkapa ambapo Klabu ya Young Africans ni siku yao maalum ikiwa imeambatana na  utambulisho wa wachezaji pamoja na mambo mengineyo ikiwa katika kuelekea msimu mpya 2024/25.

Sasa hapa nimekusogezea picha ushuhudie Rais wetu Eng. Hersi Said akimkabidhi Mgeni Rasmi Wiki Ya Mwananchi 2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango UZI wa Wananchi🔰

.
.
.
.

Related Posts