Picha zingine Kutoka kwa Mkapa DSM, ‘Yanga Day’

NI Agosti 4,2024 ambapo Mashabiki wa klabu ya Yanga SC wamejitokeza kwenye siku ya Mwananchi katika Uwanja wa Taifa ‘Benjamin Mkapa’ Dar es Salaam.

Katika siku hii maalumu ya Wana Yanga wataweza kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa katika klabu hiyo.

Hizi ni baadhi ya picha unaweza ukazitazama kufahamu kile kilichojiri.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts