#FURSA Mwigizaji mahiri wa Filamu nchini Jacob Steven (@jb_jerusalemfilms ) kupitia Kampuni yake ya Jerusalem Pictures ametangaza nafasi 85 za Waigizaji wapya katika Kampuni hiyo, ambao watapatikana kwa kufanyiwa usaili, tarehe07, August, 2025 eneo la Rungwe Hotel Afrikana Dar es Salaam.
Nafasi kwa Wanaume ni 25, Wanawake 40, Wazee 20, kwa wenye Umri Miaka 18 – 60