Rais Samia aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanda cha Sigara Cha Serengeti na Upanuzi wa Kiwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kiwanda Cha Sigara Cha Serengeti (SCC) na Upanuzi wa Kiwanda Cha kuchakata Tumbaku (MTPL) Mkoani Morogoro leo August 06,2024.

.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts