Rais Samia azindua Majengo mapya ya maabara Jumuishi chuo Kikuu cha Kilimo SUA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 06,2024 amezindua Jengo la Maabara Jumuishi kwenye Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo SUA wakati wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro ambalo Lina uwezo wa kupokea Wanafunzi 3,205.

#RaisSamiaZiaraMoro

.
.
.
.

 

Related Posts